Home > Terms > Swahili (SW) > pesa za kampeni

pesa za kampeni

Pesa zinazotolewa na mtu moja kwa moja kwa kampeni fulani.

Watu huweza kutoa kwa sasa $2,300 kwa mgombea kwenye kura ya mchujo na $2,300 zaidi kwa mgombea kwenye uchaguzi mkuu. Wanaweza kutoa mchango huu kwa wagombeaji wengine kadha.

$250 za kwanza zinazotolewa kwa mgombeaji na mtu fulani huweza kulinganishwa dola kwa dola kwa mujibu wa taasisi ya fedha ya serikali kuu.

Vizuizi kwenye uchaguzi hubadilika kulingana na sheria za kila jimbo.

0
Dodaj v Moj glosar

Kaj želite sporočiti?

Za sodelovanje v razpravah se morate vpisati.

Terms in the News

Featured Terms

Ann Njagi
  • 0

    Terms

  • 0

    Glosarji

  • 12

    Followers

Industrija/področje: Network hardware Category:

mtandao wa tarakilishi

mfumo wa vifaa vya tarakilishi viliyounganishwa kiugawana vibali kwa taarifa

Sodelavec

Featured blossaries

Charities

Kategorija: Other   4 20 Terms

Scariest Halloween-themed Events

Kategorija: Entertainment   3 9 Terms