Home > Terms > Swahili (SW) > kikombe cha chai

kikombe cha chai

kikombe cha chai ni kikombe kidogo, na au bila kono, kwa ujumla moja ndogo ambacho kinaweza kushikwa na kidole gumba na kidole kimoja au vidole viwili. Kwa kawaida hutengenzwa kutoka kwa vifaa vya kauri. Kwa kawaida ni sehemu ya seti, linajumuisha kikombe na sahani vinavyolingana . Hizi baadaye zinaweza kuwa sehemu ya chai seti pamoja na buli, jagi ya kirimi, bakuli ya kufunikwa ya sukari na bakuli slop sw Suite. Vikombe vya chai ni pana na fupi kuliko vikombe vya kahawa, lakini si mara zote.

0
Dodaj v Moj glosar

Kaj želite sporočiti?

Za sodelovanje v razpravah se morate vpisati.

Terms in the News

Featured Terms

Ann Njagi
  • 0

    Terms

  • 0

    Glosarji

  • 12

    Followers

Industrija/področje: Computer Category:

iliyo

aina ya kompyuta portable kwamba ni hasa iliyoundwa kwa ajili ya mawasiliano ya wireless na upatikanaji wa Internet