Home > Terms > Swahili (SW) > batamzinga asili

batamzinga asili

Kinyume na maana yake ya dhahiri, jina hili halimaanishi jinsi gani batamzinga ililelewa. Badala yake, batamzinga asili ni ndege ambayo yamesindikwa kidogo na haina viungo bandia au rangi, ingawa hamaanishi kwamba batamzinga haikupewa dawa za kukinga ambukizo la maradhi. Batamzinga asili haijawekwa mchuzi au haina mchuzi.

0
  • Besedna vrsta: noun
  • Sinonim(-i):
  • Blossary:
  • Industrija/področje: Festivals
  • Category: Thanksgiving
  • Company:
  • Proizvod:
  • Akronim/okrajšava:
Dodaj v Moj glosar

Kaj želite sporočiti?

Za sodelovanje v razpravah se morate vpisati.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Glosarji

  • 1

    Followers

Industrija/področje: Festivals Category: Christmas

mshumaa

chanzo cha mwanga mfano wa utambi iliyoingizwa katika mafuta mango, kwa kawaida nta au mafuta, na kutumika katika Ukristo kumaanisha Mwanga wa Yesu ...