Home > Terms > Swahili (SW) > Jumapili ya Pasaka

Jumapili ya Pasaka

Tamasha ya wakati ufufuo wa Yesu hukumbukwa na kushereherehekewa. Wakristo wanaamini kuwa Yesu alifufuka kutoka kwa wafu siku ya tatu baada ya kusulubiwa.

Jumapili ya Pasaka haikuchaguliwa kutoka kwa kalenda ya kiraia (yaani ni sikukuu ya kusongeshwa), na huwa baadhi ya kati ya Machi 21 na Aprili 25 (au kutoka mapema ya Aprili hadi mapema mwezi Mei katika Ukristo Mashariki).

0
  • Besedna vrsta: noun
  • Sinonim(-i):
  • Blossary:
  • Industrija/področje: Festivals
  • Category: Easter
  • Company:
  • Proizvod:
  • Akronim/okrajšava:
Dodaj v Moj glosar

Kaj želite sporočiti?

Za sodelovanje v razpravah se morate vpisati.

Terms in the News

Featured Terms

ongaka yusuf walela
  • 0

    Terms

  • 1

    Glosarji

  • 0

    Followers

Industrija/področje: Education Category: Schools

elimu ya sehemu nyeti

kosa la kiaibu la tamko ambalo lilifaa kumaanisha "elimu ya umma" wakati wa udhamini uliotolewa na Wilaya ya Maeneo ya Shule za Simba ...