Home > Terms > Swahili (SW) > mgombea wa chama cha tatu

mgombea wa chama cha tatu

Mgombea ambaye si mwanachama wa vyama viwili vikuu vya kisiasa vya Marekani, Republicans ama Democrats.

Hakuna mgombea wa chama cha tatu amewahi kushinda uchaguzi ingawa wameweza kushawishi vikubwa matokeo. Kwa mfano, mnamo mwaka 1992, Ross Perot aliweza kuchukua kura za George HW Bush na kumsaidia Bill Clinton kushinda tena.

0
Dodaj v Moj glosar

Kaj želite sporočiti?

Za sodelovanje v razpravah se morate vpisati.

Terms in the News

Featured Terms

ogongo3
  • 0

    Terms

  • 0

    Glosarji

  • 3

    Followers

Industrija/področje: Entertainment Category: Music

Young Adam (almasi, Burudani, Muziki)

mwanamuziki wa Marekani ambaye alianzisha bendi, Owl City, kupitia MySpace. Yeye alikuwa saini kwenye kampuni ya Universal Jamhuri ya rekodi ya mwaka ...