Home > Terms > Swahili (SW) > kuahirisha kampeni

kuahirisha kampeni

Wagombeaji wanaopania uteuzi wa vyama vya Democratic na Republican wanaweza kuahirisha kampeni zao.

Wagombeaji walioahirisha kampeni zao wanaweza kuwashawishi wajumbe wao kumuunga mkono mmoja wa wagombeaji wao katika uteuzi kwenye mkutano.

Kura za wajumbe hawa huweza kutumika kama kifaa cha kutafuta mwafaka iwapo mgombea anataka ahadi ya kazi katika serikali iwapo atafanikiwa na ushindi.

0
Dodaj v Moj glosar

Kaj želite sporočiti?

Za sodelovanje v razpravah se morate vpisati.

Terms in the News

Featured Terms

DEBORA KAYEMBE
  • 0

    Terms

  • 0

    Glosarji

  • 7

    Followers

Industrija/področje: Government Category: American government

Pamoja Chagua Kamati ya Kupunguza Nakisi

Pia inajulikana kama \"Kamati ya Super,\" Pamoja Chagua Kamati ya Kupunguza Nakisi inaongozwa na Republican Mwakilishi Jeb Hensarling ya ...

Sodelavec

Featured blossaries

Panerai Watch

Kategorija: Objects   1 3 Terms

Top 5 TV series of 2014

Kategorija: Entertainment   1 4 Terms