Home > Terms > Swahili (SW) > msukumo wa kupiga kura

msukumo wa kupiga kura

Matendo tatizi ambapo wapiga kura hupigiwa simu na waendesha kampeni na kuwapongeza wagombeaji wanaowapendelea huku wakiwalaumu wapinzani wao.

Wapiga kura mara nyingi husema kuwa wao huhisi kudanganywa na mtindo huu hasa mpiga simu huuliza maswali ya kawaida ambayo mtafiti wa kibinafsi huweza kuuliza. Baadhi ya watazamaji husema kuwa mtindo huu huhujumu imani ya wapiga kura kwa mfumo wa upigaji kura na huweka hatari ya wapiga kura kutojitokeza kupiga kura siku ya kupiga kura.

0
Dodaj v Moj glosar

Kaj želite sporočiti?

Za sodelovanje v razpravah se morate vpisati.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Glosarji

  • 1

    Followers

Industrija/področje: Festivals Category: Easter

Pasaka

Tamasha la wakristo ya kila mwaka katika maadhimisho ya ufufuo wa Yesu Kristo, husherehekewa Jumapili ya kwanza baada ya mwezi kamili ya kwanza baada ...