Home > Terms > Swahili (SW) > uchaguzi wa katikati ya muhula

uchaguzi wa katikati ya muhula

Uchaguzi wa katikati ya muhula hufanyika kila baada ya miaka minne kuwachagua wajumbe wa bunge la Congress Wapiga kura huwachagua Wawakilishi wote wa Nyumba ya Wawakilishi, thuluthi moja ya Seneti na wengi wa viongozi wa mashinani na wa kitaifa. Uchaguzi huu hufanyika katikati mwa muhula wa miaka minne wa rais. Mnamo mwaka 2010, uchaguzi wa katikati mwa muhula ulifanyika Novemba 2.

Mkutano wa Kitaifa wa chama hufanyika kila baada ya miaka minne ambapo wajumbe kutoka kila pande ya nchi hukutana kupiga kura kumchagua mgombea urais kupitia chama na makamu wa rrais.

Mikutano ya kitaifa hutumika pakubwa kufanya rasmi wosia wa wapiga kura ulioonyeshwa kwenye kura za mchujo. Mara nyingi, mshindi mwenye wajumbe wengi kutoka kwa kura ya mchujo na mataifa walo vigogo hupewa uteuzi wa chama.

Leo hii, shughuli hii hutengwa kwa ajili ya mgombea mtarajiwa wa urais kumwasilisha aliyemchagua kuwa makamu wa rais na mgombea mwenza wake na kutoa sera ya ajenda yao.

0
Dodaj v Moj glosar

Kaj želite sporočiti?

Za sodelovanje v razpravah se morate vpisati.

Terms in the News

Featured Terms

Ann Njagi
  • 0

    Terms

  • 0

    Glosarji

  • 12

    Followers

Industrija/področje: Computer Category:

iliyo

aina ya kompyuta portable kwamba ni hasa iliyoundwa kwa ajili ya mawasiliano ya wireless na upatikanaji wa Internet

Sodelavec

Featured blossaries

Most successful child star

Kategorija: Entertainment   1 5 Terms

French origin terms in English

Kategorija: Languages   1 2 Terms

Browers Terms By Category